NI MWENDELEZO WA NAMNA GANI YA KUFUGA KUKU KATIKA MAZINGIRA YALIYOBORA KARIBU
PAA
Lizibwe kwa bati, nyasi, makuti, vigae, au madebe.
Liwe imara na lisilo vuja.

VIPIMO VYA BANDA
Kuku wanaitaji nafasi kulingana na umri na njia ya ufagaji.
Vifaa vya kujengea banda.

Banda lijengwe na vifaa vinavyo patikana katika mazingira ya mfugaji ili liwe la gharama
atakayoweza kumudu.unaweza kutumia matofali ya udongo au ya saruji, miti, fito.

Eneo la nje kuzunguka banda liwe safi hili siafu au mchwa na wanyama kama panya au paka mwitu
wasiweke maficho.
wasiweke maficho.
Kwa muda wa majuma manne ya mwanzo eneo la mita mraba 1 au eneo la hatua moja
linalotosheleza vifaranga 16,Banda lenye eneo la mita mraba 16 linaweza kulea vifaranga 320 hadi
majuma manne ya umri, nafasi iongezwe hii inategemea na aina ya kuku na njia itakayotumika
katika ufugaji.

Banda lenye mita mraba 20 linatosha kuku wa mayai 60 hadi 80, au kuku wa nyama 120 hadi 160.
VIFAA VINAVYOHITAJIKA KATIKA BANDA LA KUKU
• Vyombo vya maji
vyombo hivi ni vya bati, plastiki, madebe,vyungu,sufuria, vibuyu na magongo yanayotengenezwa
kwa shughuli maalumu.Vyombo vya maji kwa ajili ya vifaranga ni muhimu viwe na kinga kidogo
kuepuka vifaranga ni visizame kwenye maji na kusababisha vifo.

• Vyombo vya chakula
Vyombo vya chakula vinaweza kutengenezwa kwa kutumia mbao, vyombo, hipi vinaweza na vile
vya kuweka maji.

• Vifaa vya kupumzikia kuku
Vifaa hivi vinaweza kutengenezwa kwa mbao au miti ili kusaidia kuvipanda na kupumzika, Vifaa
hivi husaidia kuepuka kuku kulala ndani ya viota au kurundikana karibu na mlango hasa nyakati za
usiku na kusababishwa vifo.

• Viota vya kutagia
Viota vya kutagia mayai vinaweza kuwa vya kuku mmoja mmoja na kila kimoja kikatumiwa na
kuku watano kwa awamu, au kiota cha jumla kinachoweza kutumiwa na kuku watano kwa awamu

"Tukutane Tena kipindi kijacho katika muendelezo wa Makala hizi za Ufugaji wa Kuku."
0 Comments