KIFUNGO NI NINI?
Kifungo ni hali ya mtu alie na afya sahihi kushindwa kutekeleza majukumu yaliyo ndani ya uwezo wake. Kwa mfano kifungo cha tendo la ndoa, unakuta mtu hana mapungufu ya nguuvu za kiume, hana ugonjwa wala mawazo lakini anashindwa kufanya tendo takatifu la ndoa.
Vipo vifungo vya aina mbalimbali ambavyo vimekuwa vikigharimu ndoa nyingi, lakini kwa siku ya leo tutaongelea kifungo cha tendo la ndoa kwa upande wa wanaume na wanawake.
VIFUNGO VYA WANAUME
- Mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na mkewe lakini akiwa mbali hamu(ashqi) humjia na uume kusimama. Kifungo hiki huitwa KULLI kwa jina la kitaalam na hufungwa kwa ajili ya mwanaume asifurahie tendo na mke wake.
- Mwanaume kufanya tendo la ndia na mkewe lakini kushindwa kushusha manii(mbegu). Hiki huitwa kifungo cha KINYAMA ili mwanaume asiweze kupata watoto na amani ikosekane ndani ya nyumba.
- Mwanaume kushindwa kufanya tendo la ndoa na mke wake, uume kusinyaa na kulala ghafla pale tu anapotaka kumuingilia mkewe. Kifungo hiki wamekiita UCHAWI MWEUSI kwa sababu huleta aibu na fedheha ndani ya nyumba.
VIFUNGO VYA WANAWAKE
- Mwanamke kuchukia tendo la ndoa pindi anaposhiriki na mumewe na kuhisi dhiki nafsini mwake, ute kushindwa kutoka na kumsababishia maumivu makali wakati wa tendo hilo. Kifungo hiki huitwa KIZUIZI hufungwa mwanamke ili asistarehe na mumewe.
- Mwanamke kushindwa kumaliza tendo la ndoa na mumewe na kujikuta akipoteza ladha(hisia) na raha ya tendo hilo na kumfanya apate maumivu makali katika kuta za ndani ya uke. Kifungo hiki huitwa TABALLUDI humfanya mwanamke kumuona mwanaume kama gogo kwa kukosa hisia.
- Kujiziba uke kitu mithili ya nyama pindi mwanaume anapotaka kumuingilia mke wake, kifungo hiki huitwa KIINI MACHO hufungwa ili mwanaume aone kero kwa mke wake.
Je, unajihisi kuwa na dalili kama hizi zilizotajwa? Kama ni kweli basi ni bora ukachukua hatua mapema, usije ukasubiri moto umeshapamba moto,
0 Comments