MHH NA HII TENA KUMBE,,,,,Picha za Tanasha za Kuonesha Ujauzito Wake Zadaiwa Kaiba Pozi Mpaka Mavazi..Hamisa Mobetto Ahusishwa

Mapya yaibuka shoot ya ujauzito wa Tanasha !! Wizi(plagiarism) wadaiwa kutawala kuanzia Kwenye styling hadi mapozi ya Tanasha Kama inavyoonekana Pichani ambapo picha hizo mbili zinasambaa kwasasa huku Tanasha, stylist wake pamoja na mpiga Picha(photographer) wakikaangwa Kwa kukosa ubunifu ...Wadau Wanadai Amemuiga Hamisa Mobetto Kama inavyoonekana kwenye picha hapo Juu

Post a Comment

0 Comments